Mhh
Umbo lako thufutwende
ka ulizaliwa na mavazi mamaah
Fat ndondero
Hot morero mpenzi weeh
Na ungewa peremende
Ningekula mpaka karatasi
Kakitoweo
my kipepeo mpenzi wee
Wengine mihogo
kwako Nala maini
Yani mkorogo
smooth kitu laini
Na akina mbogo, Wakileta zogo
Ntawalamba gogo
Wajue we ni wa mine iih
Ndugu zangu usiwasikie (iyeeh)
Dada zangu uwavumilie (iyeeh)
Hawataki tufurahie (iyeeh)
Mimi na wewe
Nipikie niwafurie (iyeeh)
Tupendane washuhudie (iyeeh)
Baadae wasimulie
Kwa majirani
Sauti Kama kinanda
(My ringtone)
We ndo yangu burudani
(My ringtone)
We ndo Pete mi ndo Chanda
(My ringtone)
Nakukabidhi usukani
(My ringtone)
We ndo my queen
(My ringtone)
All I need
(My ringtone)
AAh (My ringtone)
Mhh (My ringtone)
Yeiyeeh (My ringtone)
Handsome
gentle, ndume la kimasai
Future husband
my best song, Wote wanakudai
Wasikulaghai, ati sikufai
(Ni Mimi na wewe
mpaka mwisho tukifly)
Napenda ukiniita
voice Kama guitar
Sweetart
My mister
Definitely my minister
Agiza upewe
Niguze nilewe
Ukija nyumbani naomba usichelewe
Na hawa mamwewe
Babe nielewe
(Hawataki kuona tukifurahi na wewe)
Nakuhakikishia
Ntakuhudumia
Unawiri, unone, Wabaki wanazimia
Nawakirudia
Kukukaribia
Ntangoa mtu meno, Wajue nakuzimia
Sauti Kama kinanda
(My ringtone)
We ndo yangu burudani
(My ringtone)
We ndo Pete mi ndo Chanda
(My ringtone)
Nakukabidhi usukani
(My ringtone)
We ndo my queen
(My ringtone)
All I need
(My ringtone)
AAh (My ringtone)
Mhh (My ringtone)
Yeiyeeh (My ringtone)
Comentários