Lalala, OOh nanana
mwambie mama
Vampk mwambie mama
Vampk mwambie mama
dih mikasi top, na Vampk
AAh, mwambie mama nimeshafika
mhh tena mi nimefika salama
ooh mwambie mama nimeshafika
eeh Tena mi nimefika salama
Hilo Jiji la Loitokitok
ntalikosa Sana
yeye anajua ilivyonichoma mama
Nyumbani dhiki, ikanibidi niende mbali
ntawakosa Mimi naenda kutafuta Mali
acha niende mimi nanikija ujidai mama
acha niende mimi nikirudi tufurahi
mama yangu ma ujidaii
mama weeh ufurahi
mama yangu ma ujidai eh
mama yangu we ufurahi
AAh, mwambie mama nimeshafika
mhh tena mi nimefika salama
ooh mwambie mama nimeshafika
eeh Tena mi nimefika salama
mwambie dada, elimu msingi
dunia inakaba
kama mapenzi mama
walipendaga wengi mwisho wakamwagwa
basi na asome na bidii
nampendaga
basi dada asome na bidii
nampendaga
nanivema siku ya Leo umewakumbuka
ndugu zako na marafiki
huku Nyumbani
baba yako aliposikia alifyatuka
dada yako na yeye haonekani Nyumbani
mpenzi wako vaileti wafilisti wanamvizia
wamempa spaghetti siku hizi anaturingia
mama yako ameketi barazani akifikira
heri angezaa Gazeti blanketi
ama sufuria
lakini kuja Nyumbani we tunakungoja
(Ruudii)
hata kama wamekung'oa jicho Moja
(Ruudi) yeyeyeiyeeh
AAh, mwambie mama nimeshafika
mhh tena mi nimefika salama
ooh mwambie mama nimeshafika
eeh Tena mi nimefika salama
AAh, mwambie mama nimeshafika
mhh tena mi nimefika salama
ooh mwambie mama nimeshafika
eeh Tena mi nimefika salama
Comentários